Natoa 50,000 Kwa mwenye Movie za korean Drama au English Season,1TB kwenda mbele

Hii biashara sio ya kuwekeza pesa nyingi, halaf si vema kurasimisha biashara ya hivi maana ni illegal, nashangaa watu wamejiachia kama vile ni halali.
Hii unatakiwa uifanye iwe ni side buz sio main.
 
Kwahio tangazo lako ni misleading / halijakamilika unataka series ambazo utauliza ni zipi kwanza, pili kipimo cha 1TB bila kusema quality husika huoni hapo pia ni misleading ? hapo unaweza kupata series nyingi zaidi au chache according to quality
Limekamilika,hata wewe ukienda dukani n lazima uangalie unataka kiatu cha rangi ipi na ipi,huwezi sema tu nataka kiatu bila kuchagua na kuki test pia.

series nimeshasema ziwe above 930TB ina maana kama ni pungufu ya hapo,hatuwezi fanya biashara kuhusu quality sidhani kama kuna mwenye series ya quality chini ya 720p.
 
Hii biashara sio ya kuwekeza pesa nyingi, halaf si vema kurasimisha biashara ya hivi maana ni illegal, nashangaa watu wamejiachia kama vile ni halali.
Hii unatakiwa uifanye iwe ni side buz sio main.
illegal kwa maana ipi mkuu? maana biashara zote nchini kabla yakuzianzisha lazima TRA wahusike kwenye maswala ya kodi,usajili,nk,hapo je kuna tatizo?

au unaongelea ruhusa toka kwa wamiliki wa movie husika mf:kina The rock na kampuni zao za usambazaji movie?
 
TRA wanakosa kodi kwasababu movie haziuzwi kihalali, kwa hiyo katika hiyo 1TB kuna kodi nyingi zingepatikana kama wanunuzi wangenunua copy genuine.
Walishafanya msako kipindi fulani cha Nape wakakamata zile DVD na mashine. kuna maduka yalifungiwa kwa kuikosesha kodi serikali.

Hiyo ndio tafsiri fupi.
 
Nakumbuka hilo sanga sanga,lilisumbua sana watu
 
oblivion unayo?? mi nataka moja moja
 
Mimi nataka uniweke TB2 kwa 60000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…