Mafunzo ya Udereva
JF-Expert Member
- Aug 27, 2025
- 620
- 925
Tangu jana nawaza hii kitu pia; halaf yale mazuzu yanachekelea tu zile ndinga pasipo kuwa na hata na chembe ya akili😂😂Kuna uwezekano 80-90% uchaguzi ukasogezwa mbele kwa kutokea kifo cha mgombea urais .
So wale jamaa waliopewa magari wa vyama vidogo kuweni makini ikiwezekana jificheni kaeni mbali Sana
Zile ni mali za umma, hata wakijificha watapigwa pini tuSo wale jamaa waliopewa magari wa vyama vidogo kuweni makini ikiwezekana jificheni kaeni mbali Sana
Dah ila wabongo bhanaUchaguzi haufanyiki kabisaaa na kwa sasa tetesi kutoka ndani inaonekana bibi hamuamini mtu yoyote yule kwa sasa....Na inawezekana wakamuweka kizuizini muda wowote.....
Majuha wapo wengi.Uchaguzi haufanyiki kabisaaa na kwa sasa tetesi kutoka ndani inaonekana bibi hamuamini mtu yoyote yule kwa sasa....Na inawezekana wakamuweka kizuizini muda wowote.....
Labda wahame nchi kabisa. Hawana issue hao acha waliwe vichwa tu maana ni nafuu kwa wananchi kuliko kuendelea kuwapo.Kuna uwezekano 80-90% uchaguzi ukasogezwa mbele kwa kutokea kifo cha mgombea urais .
So wale jamaa waliopewa magari wa vyama vidogo kuweni makini ikiwezekana jificheni kaeni mbali Sana