Natoa Haja Kubwa Nyingi kupita kiasi, inanitia hofu

Over feeding na kula vyakula vya ovyo ovyo bila mpangilio maalum wa vyakula!
 
Mmmh,pole..mpangilio wako wa chakula utakua si mzuri.
 
Nenda ukamwone daktari, na uwe muwazi kwake kama ulivyofanya hapa jukwaani, ila pia ulaji wako unaweza kuwa na shida, kuwa na kiasi.
 
hahaha watu wa JF humu!!!! tho i think ndugu yangu fuatilia milo yako ya hizi siku tatu utapata jibu...juice ya ukwaju,parachichi,kabichi ni mfano tu wa vyakula ambavyo husababisha hiko ulikolalamika(sorry siwezi kukitaja maana tasfida yako ulotumia ni noma):nono::yo:
 
Kubali kusema sasa nimeshiba sio unakula weeeeee toka asubuhi hadi jioni halafu halafu unaanza bia.
 
Jamani JF kuna vituko.Lakini pole.Ila we ni mtu wa aina gani hadi unajaza sinki?Jamani inawezekana kweli?Wadau tusaidie
 
Nenda hospitali watakuhoji kuhusiana na utaratibu wa maisha yako(life style) mfano ulaji ikiwa ni pamoja na kukupima,Unavyojisikia n.k na hivyo watakupa dawa endapo watabaini kuwa ni mgonjwa
 
Hodi chumba cha daktari JF!Shikamoo daktari.Nimekuja ninajiona nakunya mavi mengi kuliko kawaida.Je nina tatizo la afy?

Punguza kula vyakula visivyo na kiwango. Kinyesi kingi ni dalili ya kuwa unakula chakula Makapi ambavyo havitumiki mwilini. Hofu yangu ukiendelea hivyo ipo hatari ya kupanua 0713. kwa kiwango kikubwa.
 
Kwa wenzetu wachina wanasema afya yako iko vizuri.USHAURI wangu kwako kula mapela kwa wingi
 
Kwa maelezo yako utakuwa unaumwa ndugu yangu, waone wataalam halaka

  • :crying:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…