Natoa Haja Kubwa Nyingi kupita kiasi, inanitia hofu

Natoa Haja Kubwa Nyingi kupita kiasi, inanitia hofu

Lugha(uandishi) uliyotumia kwenye kichwa cha habari ni kali sana jifunze kupunguza ukali wa maneno

Kwa kweli,tasfida ndo mpango.kama neno :kunya mavi" ungetumia neno napata haja kubwa.
 
acheni kukomaa mpeni jamaa ushauri, mi naanza kwa kumwambia apunguze kula vyakula vingi ikiwezekana afungu angalao mara 2 kwa wiki.
 
Bwana Crispin Nyoni nenda ukanye kwenye Septic tank moja kwa moja kuanzia sasa ili kupunguza bill ya maji!
 
Last edited by a moderator:
Doh hii mada nilivoona kichwa tu nlikuwa nakula na hamu ikakata!
 
Crispin Nyoni: inaonyesha una tabia ya kula Vyakula vyenye Roughage(Rafeji) nyingi sana, mara nyingi vyakula hivi kwakuwa havina nutrients(virutubisho) vya kutosha mwishowe huwa vinatoka vyote baada ya kula. Na kama unakula vingi basi ujue utatoa vingi kwa wakati mmoja. Pia zingatia tafsida mkuu.
 
Hiii thread ni hatari kwa mbavu aiseee
 
Yaan mods wana makusud aisee yaan nimechekass jamaniiii lol
 
Angalia haya yafuatayo mpendwa:
1. Inawezekana unakula muda unaokula chakula chako, hasa nyakati za usiku. Hiyo huwatokea wengi wanaopenda kula chakula zaidi ya saa 5 usiku. Muda huo na kuendelea vimeng'enyo (enzymes) vya mwili vinakua inactive na hivyo kupelekea chakula kingi kutosagwa tumboni na sehemu nyingine stahiki, hivyo hakifyozwi na mwili . Mwisho wa siku chakula hicho hutolewa nje kwa njia ya haja kubwa kama uchafu.

2. Angalia ulaji wako.je huwa unapenda kunywa maji baridi mengi katikati ya mlo wako? Kama ndiyo basi unakosea kwani chakula huwa kinasagwa vizuri na kufyozwa kwenye joto la mwili la kawaida yaani 37[SUP]0[/SUP]c. Kunywa maji mengi baridi hupelekea joto la tumbo kuwa chini ya 37[SUP]0[/SUP]C, matokeo yake tumbo na sehemu husika kwa ufonzwaji wa chakula husubiri damu itoke sehemu nyingine za mwili kwa wingi kuja kwenye tumbo kwa ajili ya kupandisho joto hilo.

Matokeo yake chakula kinashindwa kusagwa na kfyonzwa na mwili ktk muda stahiki, hivyo kupelekea kutupwa nje kwa njia ya haja kubwa kama uchafu...
 
piga mapera man...hii kitu itapunguza output kabisa..sema unapopakua mzigo inabidi uwe na muda wa ziada kule loo!
 
Back
Top Bottom