Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Na bambo witunda mahi ga mahele!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hodi chumba cha daktari JF!Shikamoo daktari.Nimekuja ninajiona nakunya mavi mengi kuliko kawaida.Je nina tatizo la afy?
Lugha(uandishi) uliyotumia kwenye kichwa cha habari ni kali sana jifunze kupunguza ukali wa maneno
Nimecheka kama mwehu
Kwani hujui kuwa wewe ni mwehu? wote humu JF tunajua hilo!
Acha kunywa bia nyeusi kama guiness na castle milk stout
kipenyo cha exit door ni cm ngapi?
Mkuu unamuuliza nje kwa nje au ndani kwa ndani?