Natoa Haja Kubwa Nyingi kupita kiasi, inanitia hofu

Kiingiacho ndicho kitokacho.....Punguza msosi au uko zile hatua za binadamu kugeuka tembo loooooooooooooooooooooooh!!!!!!!!!!!!!! umenikumbusha mbaaaaaaaaaaali sana
 
duh ... hongera kwa kujitahidi kutaka kumkomoa baba mwenye nyumba ujaze choo mapema.... ila naamini hutanenepa yaonyesha kila utiacho tumboni unakitoa...
 
Hodi chumba cha daktari JF!Shikamoo daktari.Nimekuja ninajiona nakunya mavi mengi kuliko kawaida.Je nina tatizo la afy?

Punguza kula roughage. Ongeza proteins na vitamins.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Kama una kunya kawaida tu haina tatizo.
Ila kama una harisha hilo ni tatizo lingine.

Kuna watu wana pitisha week bila kunya na wana jisifia kwa kujiita "wazungu".

Kunya ni starehe,ukitoa mavi mengi sana kunaweza sababishwa na matatizo
katika mfumo wa mmeng'enyo wa chakula mwilini mwako. (Unacho kula ndicho unacho toa).
So kiasi kidogo sana kinabaki kujenga mwili,au una kula chakula ambacho chenyewe ni kama mavi
tayari (e.g ugali ulopikwa kwa unga wa kukoboa).
 
Utakuwa unakula sana na kunywa maji wakati mmoja.Fuata utaratibu


mkuu hapo ndo kabisaa choo shida kabisaa hapa huwa chakula kinasimama kabisa tumbo maana wataalamu wanasema unapokula na kunywa maji kwa pa1 unachachisha chakula tumbo linkkuwa slow sana ktk umeng'enyaji wa chakula labda iwe tofaut
-au atakuwa na vidonda vy tumbo na matatzo mengine

-au labda huwa anakula vyakula au matunda meusi(hapa huwa inanitokea mimi kama nikila sana zabibu tena choo huwa laini sana)
-au tumbo likuwa linajsafsha kwakuwa huwa anachanganya sana na vitu vixivyo na umuhimu tumbun.
mwisho wa siku vizur aende hsptl amuone dr. Kama hamna tatzo
aendelee kuenjoy hiyo hali
maana kuna wanatafuta hiyo hali ktk matumbo yao!!
 
Hodi chumba cha daktari JF!Shikamoo daktari.Nimekuja, ninajiona nakunya mavi mengi kuliko kawaida.Je nina tatizo la afya?

Crispin Nyoni
Huna tatizo la afya.
Tatizo ulilonalo ni kula kwa wingi.
Vipi utataua tatizo hilo?
Funga kwa siku mbili, unaruhusiwa kunywa maji tu. Baada ya siku mbili uwe unakula kwa kiasi na sio kufakamia vyakula ovyo ovyo.

Kama baada ya kutekeleza ushauri huu utakuwa bado unapokwenda haja kubwa unajaza sinki, ugomee kula chakula cha aina yoyote.
 
Ivi kumbe makande yanaweza nisaidia mimi nisie pata haja kubwa mara kwa mara?

ni kweli makande, mboga za majani km kisamvu zina high fibre content
hivyo zinasaidia sana kwa tatizo la kukosa choo!
 
Ndugu, kama unaishi Kimara, Mbezi, Kimamba, tabata nk. penye tatizo la maji, huwa unamwaga ndoo ngapi za maji kuondoa mzigo wako uliojaza sinki.
 

NImepapenda hapo kwenye red....ninahamasisha sana watu kula ugali wa dona waachane na haya mavi meupe-ugali wa sembe.
 
Huwa unakula kwa mama-ntilie/mgahawani au chakula cha Nyumbani?Jitahidi uoe mkuu kama umri unaruhusu.
Kuna msemo marehemu babu yangu alikuwa anapenda kuusema enzi hizo"Rural Swagga MJUKUU WANGU UKIONA UNAHARISHA UJUE UMEKULA MAVI"......:yo::high5:
 
kama unakula sana lazima utakunya sana!

Naomba nkusahhshe c kwel ukila sn unakunya mavi meng,coz kuna baadh ya vyakula ukila ngumu kupata choo mara kwa mara unaweza ptsha hata cku mbl haujapata haja kubwa ila km unakunywa maj meng ambayo c ya barid na matunda/vegetables lazma upate choo...so kula sn c ndo kwenda haja sn ila kitumbo kinakua ndi
 
Hivi huyu bwana alipata dawa? Anaendeleaje na hili tatizo?
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha! Kweli sijitoi tena JF! Leo nimecheka saaana! Eti ana nyota ya tembo!
 
...jamani wakuu mnanichekesha kwa post zenu!!!!!...punguzeni ukali wa maneno!
 
Inaonekana na hicho kijambio chako kimeshapanuka kama kopo la kimbo! Ukijamba hakuna kutoa sauti kwa sababu jambio limepanuka mno, walioko karibu watasikilizia harufu kali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…