Natoa huduma ya kuandika CV na barua ya kikazi

Natoa huduma ya kuandika CV na barua ya kikazi

Natoa huduma ya kuandika CV na barua ya kikazi kwa gharama ya 10,000 Tsh.

Mawasiliano: 0756704145
Napatikana: dar es salaam, mbezi
Idadi ya watu uliowaandikia
Idadi ya watu waliopata kazi kwa kuwandikiacv
 
Idadi ya watu uliowaandikia
Idadi ya watu waliopata kazi kwa kuwandikiacv
Idadi ya niliyowaandikia ni mmoja, kazi nimemfanyia siyo muda kwahiyo yupo kwenye mchakato wa kuomba kazi. Karibu mkuu huduma nizaviwango vya juu
 
Ila AI ukimwambi akuandikie hivyo vyote hakuchaji hata 100 wala 50
Mkuu, unafikiri kila mtu anafahamu matumizi ya teknolojia? Sawa, anaweza kufahamu lakini asiwe na ujuzi wa kuimodify, analimeza hivyo hivyo kama alivyotafuniwa na AI.
 
Kumbe cv huwa kuna watu wanaandikiwa? Mimi nakaaga maghetoni naichora mwenyewe kumbe huwa nawanyima watu ulaji? Nilikuwa nakosea sana.😔
 
Kumbe cv huwa kuna watu wanaandikiwa? Mimi nakaaga maghetoni naichora mwenyewe kumbe huwa nawanyima watu ulaji? Nilikuwa nakosea sana.😔
Kwa CV za kisasa ambazo zinachambuliwa na AI kuiandika mwenyewe siyo tatizo bali kuna mambo muhimu sana ya kuzingatia. Jaribu kujielimisha maana unaweza kujikuta hupati kazi kumbe CV yako ikitiwa kwenye CV software inatupwa kule katika hatua tu za awali kutokana na muundo wake na baadhi ya habari muhimu kuwa nje ya analyzable margins.
 
Kwa sasa AI inafanya karibu kila kitu mkuu. Hata sisi ambao hatujui coding hata kidogo kwa sasa ni mteremko tu.
Kwa upande wako unaweza kuitumia kutengeneza hizo video kama ukipewa script?
 
Kwa CV za kisasa ambazo zinachambuliwa na AI kuiandika mwenyewe siyo tatizo bali kuna mambo muhimu sana ya kuzingatia. Jaribu kujielimisha maana unaweza kujikuta hupati kazi kumbe CV yako ikitiwa kwenye CV software inatupwa kule katika hatua tu za awali kutokana na muundo wake na baadhi ya habari muhimu kuwa nje ya analyzable margins.
Okay, all the best
 
Cv za AI utapata kazi za serikalini na taasisi zisizoeleweka, lakn taasisi na mashirika ya kimataifa hawaangalii hata kusoma wakiona tu muundo wanatupa wanakucancel hapohapo hawajisumbui
 
Mm ukitaka CV kwaajil ya scholarships, NGO kubwa na taasisi za umoja wa mataifa, EU, AU na kwengine njoo nikuandalie
 
Back
Top Bottom