Sasa simu ya nini badala ya kuweka na location yako? Au huduma yako ni mobile?Habari,
Ndugu wafanyabiashara wa peanut butter, unga wa lishe, karanga za kutafuna na n.k. nina mashine ya kukaanga karanga yenye uwezo wa kukaanga karanga zaidi ya kg 50 na pia nina mashine ya kutoa maganda yake kama utahitaji.
Naanzia kg 25 na kuendelea, gharama za huduma ni sh. 30 kwa kilo yaani kama ni kg 100 ni 30000. Karibuni sana kwa maelezo zaidi piga namba 0674 864 371.
Kila la kheri. Kwake
Machine ulionunua wapi na bei yake?Habari,
Ndugu wafanyabiashara wa peanut butter, unga wa lishe, karanga za kutafuna na n.k. nina mashine ya kukaanga karanga yenye uwezo wa kukaanga karanga zaidi ya kg 50 na pia nina mashine ya kutoa maganda yake kama utahitaji.
Naanzia kg 25 na kuendelea, gharama za huduma ni sh. 30 kwa kilo yaani kama ni kg 100 ni 30000. Karibuni sana kwa maelezo zaidi piga namba 0674 864 371.
TunachemshaKila la kheri. Kwake
Kanda yay ziwa karanga zinatumika zaidi
Sehemu nyingine ni wapi sasa mbagala, gongo la mboto, tandale, ostabei? Yani nna karanga zangu nilete wapiUnaleta ofisini tunakaanga... Pia tunauza karanga lakini sio hapa duka lipo sehem nyengine
Fanya hiviii, hayo maswali uliyoulizwa ukayajibu kwenye comments ongezea hayo maelezo kwenye uzi wako uupe nyama ili kupunguza maswali. Tangazo lako halijakamilika.Tandale ndio kuna mashine, duka la karanga lipo Mwananyamala na hata hapa Tandale pia karanga zinauzwa
naunga mkono hojaFanya hiviii, hayo maswali uliyoulizwa ukayakibu kwenye comments ongezea hayo maelezo kwenye uzi wako uupe nyama ili kupunguza maswali. Tangazo lako halijakamilika.