Natoa huduma ya kukaanga karanga

Natoa huduma ya kukaanga karanga

Fuqin

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2018
Posts
306
Reaction score
625
Habari,

Ndugu wafanyabiashara wa peanut butter, unga wa lishe, karanga za kutafuna na n.k. nina mashine ya kukaanga karanga yenye uwezo wa kukaanga karanga zaidi ya kg 50 na pia nina mashine ya kutoa maganda yake kama utahitaji.

Naanzia kg 25 na kuendelea, gharama za huduma ni sh. 30 kwa kilo yaani kama ni kg 100 ni 30000. Karibuni sana kwa maelezo zaidi piga namba 0674 864 371.
 
Sasa simu ya nini badala ya kuweka na location yako? Au huduma yako ni mobile?
 
Vipi, tunakuja na karanga au unakuja kutukaangia kwetu?
 
Unaleta ofisini tunakaanga... Pia tunauza karanga lakini sio hapa duka lipo sehem nyengine
 
Habari,

Ndugu wafanyabiashara wa peanut butter, unga wa lishe, karanga za kutafuna na n.k. nina mashine ya kukaanga karanga yenye uwezo wa kukaanga karanga zaidi ya kg 50 na pia nina mashine ya kutoa maganda yake kama utahitaji.

Naanzia kg 25 na kuendelea, gharama za huduma ni sh. 30 kwa kilo yaani kama ni kg 100 ni 30000. Karibuni sana kwa maelezo zaidi piga namba 0674 864 371.
Machine ulionunua wapi na bei yake?
 
Machine ulionunua wapi na bei yake?
Nimetengenezesha kwa fundi...nimeangalia mashine za kichina zilivyo nikampa fundi plan na tukatengeneza...
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Unaleta ofisini tunakaanga... Pia tunauza karanga lakini sio hapa duka lipo sehem nyengine
Sehemu nyingine ni wapi sasa mbagala, gongo la mboto, tandale, ostabei? Yani nna karanga zangu nilete wapi
 
Tandale ndio kuna mashine, duka la karanga lipo Mwananyamala na hata hapa Tandale pia karanga zinauzwa
 
Fanya hiviii, hayo maswali uliyoulizwa ukayajibu kwenye comments ongezea hayo maelezo kwenye uzi wako uupe nyama ili kupunguza maswali. Tangazo lako halijakamilika.
 
Fanya hiviii, hayo maswali uliyoulizwa ukayakibu kwenye comments ongezea hayo maelezo kwenye uzi wako uupe nyama ili kupunguza maswali. Tangazo lako halijakamilika.
Sawa
 
naunga mkono hoja
 
Back
Top Bottom