Natoa huduma ya kutengeneza pellets kwa ajili ya mifugo kama kuku na nguruwe

Mbalizi feedstuff

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2025
Posts
238
Reaction score
269
Habari za kazi
Nina mashine ya kubadilisha chakula cha mifugo cha ungaunga kuwa katika mfumo wa pellets ambazo ufanisi wake unajulikana katika ulishaji wa mifugo,pia huduma ya kuchanganya cha mifugo kuanzia 1000kg kwa saa pia inapatikana kwa kutumia Mixer.Huduma hizi zinapatikana Mbeya japo nimeshafanya Kazi ya mtu wa Iringa.Sifa kuu ya pellets ni iwe ngumu isimomonyoke hivyo mashine yangu inatoa pellets zenye kiwango kizuri.Karibuni

Your browser is not able to display this video.









Your browser is not able to display this video.
 
Kitu yangu ni kununua machine inayotengeneza Starter Kwa ajiri ya vifaranga na samaki

Je machine hizi Zina uzwa sh ngapi wakuu?
 
Safi hii! Hizi
Nzuri hii, hiv hua zinauzwaje hizi mashine?
 
Huwa inategemea na uwezo wa kutengeneza kg ngapi kwa saa mfano yangu ni kg 650 hadi 800 sasa,kama hii yangu China,FOB ni 6m na ndiko nilikoinunua
Maa agent wao wanenda kwa jina gani hapa Tanzania? Ama n kuagiza Alibaba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…