Natoa huduma ya kutengeneza pellets kwa ajili ya mifugo kama kuku na nguruwe

Natoa huduma ya kutengeneza pellets kwa ajili ya mifugo kama kuku na nguruwe

Mimi ninayo complete ya kutengeneza mash na pellets njoo pm tujadiliane
Hapana ni complete set means ya kwanza Ina crusher na mixing ya pili ni conveyor inapeleka mash kwenye pellets mashine yenye uwezo wa 500kg kwa saa
 
Back
Top Bottom