Natoa huduma ya kuuza vitu kwa wale walio na vitu stoo wanataka kuuza au kitu chochote unataka kukiuza

Natoa huduma ya kuuza vitu kwa wale walio na vitu stoo wanataka kuuza au kitu chochote unataka kukiuza

Wakuu, bado napokea, asante kwa wale tuliofanya biashara na wale ambao bado ila mmenitumia vitu vyenu, bado navifanyia kazi, na wengine kama una kitu chochote unauza kindly njoo whatsapp, au piga simu : 0752329591

Leta chochote kile unachouza, namaanisha chochote kile inachotaka kukiuza basi nitakusaidoa kupata mteja, tuweke bei nzuri pia ya chini/kawaida sababu wateja wangu wa kqenye platform zingine ni watu wa hali ya kawaida na wanauhitaji.

Karibu sana, lete chochote tuuze.
 
Karibu sana
 
Jamani endeleeni kuleta vitu vyenu ndugu wateja, na sante ambao mlileta na tumeuza tayari na vichache ambavyo bado tuendelee.kuvuta subira kiasi
 
Lete chochote, masofa, simu, kabati, gari, Tv, nyumba, kikombe, sufuria, Home theater, kitanda, fridge, dinning table, showcases, carpets, viatu, nguo, na mengine ypopppte unayotaka kuuza, lasoro binadamu tu ndio siuzi[emoji4] ila vingine vyote leta, usijari bado utakua anony, just send it kwa dm, au whatsapp : 0752329591.
*Picha za kitu unachotaka kuuza
*Location Kilipo
*Specifications (sio lazima)

Then boom nakuletea mteja fastaaa.

Contact: 0752329591
IMG-20230321-WA0017.jpg
 
Haya Is another day (Happy Sunday waheshimiwa wa JF)

Endeleeni kuleta vitu vyenu tuuze, asante sana wote mnaonissuport mnanitumia vitu na tunauza, ambao bado viko pending sijaleta mrejesho pia vumilieni kidogo. Wengine endeleeni kuleta, chochote kile tunauza.

Pia jamani wauzaji wekeni bei ya mama ntilie wali nyama 1500, sio za 5 star hotel wali nyama 120,000[emoji16] ili tuuze haraka. Na wanunuzi ni opposite[emoji4].

Contact: 0752329591
Kama hivi[emoji116]

Anaeiwahi hii ya moto bado ya leo Lt 303, leta 375k uchukue fasta.View attachment 2566141
%E8%B6%85%E7%BA%A7%E6%88%AA%E5%B1%8F_20230326_091245.jpg
View attachment 2566142
 
Umesomeka kijana nadhani kwakuwa namba za simu ushaweka hakuna taabu
 
Office Chair (used almost new)
Price: 165,000
Contact: 0752329591
%E8%B6%85%E7%BA%A7%E6%88%AA%E5%B1%8F_20230324_100855.jpg
 
Back
Top Bottom