Natoa Huduma ya massage kwa wababa na wamama wanaosumbuliwa na migongo

Natoa Huduma ya massage kwa wababa na wamama wanaosumbuliwa na migongo

Wewe wa kike au kiume? Tuanzie hapo kwanza, nisije lete mkitambi wangu nifanyiwe massage halafu nakukuta ni dume mwenzangu na mtambi wake pia.

Raha ya massage ufanyiwe na mikono laini ya kike.

Unakuta mfanya massage ndio huyo👇

1740249895247.jpeg
 
Hello.. karibuni sana wote ambao mnahitaji huduma ya massage. Nipo mm na wenzangu. Tuna timu yetu mikoa mbali mbali. Mimi binafsi nipo dar es salaam. Namba yangu ni 0787264085. Karibuni sana wote kwa huduma nzuri.
Asante
Aiseee, Ww ni KE au ME
 
Back
Top Bottom