Natoa huduma ya Pharmacy na laboratory php automated system

Binadamu Mtakatifu

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2021
Posts
4,226
Reaction score
8,879
Nipo kwenye last steps kukamilisha hiyo system ambayo inaweza fanya hivi-

1-create users with different roles and permissions
2-add stock
3-sell stock
4-truck proft and usage
5-view and export reports

And more

In lab section

Track participant from reception to doctor, lab n.k

Sina documentation hivyo sijaweza kuweka maelezo mengi ila nitauzindua rasmi december 25 na nitaweka full documentation about features and usage

Mfumo ni tsh 150k kwa mwaka kwa pharmacy na lab moja + 20k each year for getting software features and security updates

For who want to host them self must buy it for 650k and 20k tsh each year for features updates

Also kutakuwa na try kwa tsh 50k kutoka tareh 25 december mpaka mwisho wa mwezi wa sita mwakani (only 50 customers)

Get intouch if you want

Samahani kwa mwandiko mbaya

System name CAREFUSION
 
Umetumia Aina gani ya Language..
Ni PhP au Ni Python??
 
Kama umenielewa ni online platform ila baadae nitaprovide desktop app ambayo itaweza kusave data local na kuupload using api (hii itafanya kazi ikowa hakuna muunganisho wa mtandao)
Nina Maswali mengi sana
Maana Hizi system Wengi sana wanazo ila Zina Bug Kibao..
Na Zinacollapse sana..

Unatumia Database Architecture zipi SQL au NSQL,
Who is Controlling the Data?, pia Humo namaanisha Data Encryption Ikoje? Maana Data za Wagonjwa ni Very sensitive sana..Kuonekana na Third part ni Hatari...
Je Inakuwa na backup??
Whats your Frameworks?
Kuhusu Debaging and Indexing and Query Optimization natakiwa nikulipe Tena au Iko covered na Ni kwa Muda gani..
 
Database ni Mysql kumqanisha lugha ni sql
Bado sijafikiri kutoa self-hosted hivyo nitaprovide feature to export data

Data zote muhimu zinazomuhusisha mtumiaji zitakuwa encrypted kama vile password, na taarifa nyingine za afya yake, hii inamaana unapoexport data lazima uwe na key

Hakuna third part yeyote itakayo husika

Kutakuwa na feature ya kuexport backup ambayo itakupa zip file lenye sql file (database) na data folder + json file for import (restore)

Backed no frameworks ila front end ni boostrap na query

Kama nilivyosema software ni mpya na bado ipo kwenye development hivyo watu wa kwanza itakuwa inatumika kamatesting

Mimi kama mimi nitakuwa natoa Optimization updates each month kufix bugs, Indexing issues and improvements haswa kwa database kubwa na query ili kupunguza time ya kufetch data kadri iwezekanavyo na pia kuhakikisha only required data are fetched

Of course kila mwaka lazima unilipe ilikupata updates za features na security

Hii inaweza kuwa tofauti kabisa na gharama za uendeeshaji wa sotware.

Nipo njiani hivyo nimenadika harakaharaka naomba radhi kwa makosa yeyote ya kiuandishi.
 
Hii Idea Nzuri sana Nitakutafuta
 
Back
Top Bottom