natoa huduma za bima kilimnjaro/zanzibar insurance corporation

natoa huduma za bima kilimnjaro/zanzibar insurance corporation

samaika

Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
22
Reaction score
1
natoa huduma za bima za vyombo vya usafiri kwa bei poa kabisa. tupo ilala boma, mtaa wa mororgoro karibu na msikiti opposite na mahakama ya mwanzo. lakini pia tuntoa huduma ya kukufuata ulipo bila ya malipo kwa kuboresha huduma zetu. mawasiliano 0716747117. karibuni wote
 
Bei poa gani? Hizo fake
Bei za bima za vyombo vya usafiri ni standardized...zote ni moja tu
Sasa hizo poa zako za mitaani
 
Back
Top Bottom