Habari wana jf...naamin wote wazima na mwaendelea vema kusukuma gurudumu la taifa ...mimi ni binti nilieamua kujiajiri..nashughulika na mapishi aina yote..napika vyakula vya kila aina..naomba msaada wenu kama kuna mtu ana kampuni ama familia au yeyote mwenye kuhitaji vyakula kuanzia asubuh hadi jioni..natia huduma hyo kwa bei nzuri tu..asanteni