Job Richard
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 3,876
- 2,190
TV chogo kama yangu kwani haifai...Dhamana ni vitu gani kwa Mfano?? Kadi ya Gari,TV Flat SCreen,Viwanja????
TV Chogo hazina Thamani Kubwa,Unaweza kuta TV Chogo ya Nchi 32 ikauzwa laki na nusu.TV chogo kama yangu kwani haifai...
Natoa mikopo kwa watu binafsi wenye shida za dharula.uwe na bond yenye gharama sawa ama zaidi ya mkopo utakao. Maximum ni milioni 3.muda wa kurejesha ni kati ya mwezi mmoja na miezi mitatu. Riba asilimia 15.
Pm ukihitaji huduma
Nyie ndio mnataka mumpige.
Duc in Altum
mimi nashida na mkopo mkuu naweza pata?Natoa mikopo kwa watu binafsi wenye shida za dharula.uwe na bond yenye gharama sawa ama zaidi ya mkopo utakao. Maximum ni milioni 3.muda wa kurejesha ni kati ya mwezi mmoja na miezi mitatu. Riba asilimia 15.
Pm ukihitaji huduma