Natoa mikopo ya dharura kuanzia Tshs laki 5

Natoa mikopo ya dharura kuanzia Tshs laki 5

watu kwa kuongea kwani kasema hajui risk mpaka aamue ivo sio kila kitu kinahitaji ushauri TATIZO TUNAONGEA SANA
 
Hakuna sheria yoyote inayozuia MTU kumkopesha MTU.

Angalizo; mikataba yako izingatie sheria ya mikataba, pata ushauri wa mwanasheria.

Biashara hii ni Nzuri na INA Faida kubwa.
 
hongera sana mkuu ... maskini wa akili mara zote hufikiri wenzie kuwa hawana akili hongera sana panua wigo na mikoani maana huku kuna soko kubwa sana
 
Itabidi utafute na mabauncer wa kuvunja wadaiwa sugu miguu,pia usisahau mwanasheria uwe nae kwa ajili ya dharura.

Kwa ufupi biashara za loanshark kwa nchi kama hii,haiwezmake,
utamharasi mtu atakupeleka polisi na utakula mvua tu,

hapa sio marekani kwamba,mtu anajulikana ni mafia lakini kwakuwa hamna ushahidi hawana la kumfanya mpaka wawe na ushahidi wa hakika ndo wakuweke ndani
 
Natoa mikopo kwa watu binafsi wenye shida za dharula.uwe na bond yenye gharama sawa ama zaidi ya mkopo utakao. Maximum ni milioni 3.muda wa kurejesha ni kati ya mwezi mmoja na miezi mitatu. Riba asilimia 15.
Pm ukihitaji huduma

Ni PM ,halafu tuongee. ..nahitaji loan ku launch project yangu
 
Mimi nipo dar nataka niwahi kupata huo mkpo niwe miongoni mwa watakaopata kwa silimia 9,
 
Natoa mikopo kwa watu binafsi wenye shida za dharula.uwe na bond yenye gharama sawa ama zaidi ya mkopo utakao. Maximum ni milioni 3.muda wa kurejesha ni kati ya mwezi mmoja na miezi mitatu. Riba asilimia 15.
Pm ukihitaji huduma
mimi nashida na mkopo mkuu naweza pata?
 
Ktk biashara ya kukopesha pesa inahitaj mahusiano mazur na jamii yako kwanza na pia uvumilivu sio kila kitu kinahitaj sheria bali busara sana
 
Utapata vitisho vingi lakini we kuwa na msimamo na jipe moyo maana kwa kaida ya binadamu huwa hapendi maendeleo ya mwenzake
 
Back
Top Bottom