Natoa milioni 3 kwa kijana aliyeko Dodoma

oya wanangu Zero IQ na October man fursa ndo hii hapa sasa tukutane maisha club kula bata
Heeee nimekosa kigezo kimoja tu hapo mzee, idea ipo nzuri.

Binafsi nikueleze kitu, kama nimepewa jicho la tatu hivi miezi miwili iliyopita nilikuwa nimewaza biashara fulani sehemu fulani niliona kabisa italipa week hii iliyopita jamaa kafungua biashara ileile palepale anapiga hela soko lipo kama nilivyotageti kwenye kichwa changu.

Mtaji kilio kiliooo.

Hili wazo lingine (Stationary)
_Kuna sehemu naona kabisa inahitaji stationary Dodoma along side Udom, stationery zipo nyingi ila hapo ni centric point ukipapata naukaweka pesa ya maana na ku-brand hutajuta, ni eneo ambapo palikuwa mgahawa ila ulikuwa haulipi kifaida ukiiwai na kuzungumza na wahusika kuna biashara. Ila panahitaji mtaji mkubwa kimazingira.
 
Mtaji mkubwa kama million ngap?
 
Hey Good Neighbour niko huku Arusha ila ukinikopesha hizo pesa nitaenda kuishi Dodoma kutafuta biashara ya kufanya. Je, ninaweza ku-qualify kupata huo mkopo?
 
All the best chief...
 
Nilishuhudia taarifa ikitolewa kuna mwizi kaiba simu na bible kanisani na aliye ibiwa ni rafk yangu.

Dunia imefika pabaya.


Sijui huyu muandika uzi katoa wapi hii hekima.

Wajinga na wamfate kusumbua akili zao.
Kwa wazifa gani alio nao hadi aje atuambie haya???? Binadamu hayawani.
 
Mtaji wangu kiepe nilianza nao kwa elfu kumi ya mtaji wa kuchoma Mahindi mkuu
Mkuu kwanini usichukue hiyo 3 uongeze nyama choma mbuzi na kuku ili mitego yako inase vizuri kwa wale viumbe wako pendwa.
 
Mkuu kwanini usichukue hiyo 3 uongeze nyama choma mbuzi na kuku ili mitego yako inase vizuri kwa wale viumbe wako pendwa.
Sitaki hiyo mkuu kwa kuwa ninayo tayari Nusu yake inanitosha kesho nitaifikia hiyo na zaidi yake
 
Mkuu nasaka ajira bado
Napost tu CV jukwaani Sina namna nyingine
Asante kwa kunipa format nzuri ya CV ikiwa ndio namalizia masomo yangu, pia nashukuru zaidi ipo kwenye word ni ku-edit tu na ku-paraphrase.

Ila mkuu kwenye CV umesema una skills za ku-interact na computer Ms office then CV tu umeshindwa kui-publish kwenye PDF format uwoni umeongopa kabla ujapata ajira.
 
nitaongeza Tisa pia
Mimi nitaongeza 2.5M
nitaongeza Tisa pia
GUYS KAMA MNA MAANISHA MNACHOKISEMA ... NAWEZA KUTENGENEZA BUSINESS IDEA FROM THIS ONE..

KAMA KWELI MPO SERIOUS NA MNACHOKISEMA.. YAANI KAMA MPO TAYAR KWELI KUTOA HIZO PESA MNAZOZISEMA
 
Ntaweza ku guide hii process nzima.. Tunaweza ku select kama idea nne za ku sponsor then kama zikitiki na sisi tukanufaika pia.

Kuhusu selection ya ideas zinazofaa ... Mimi nna uwezo ku analyse hayo mambo.
Btw mimi ni financial analyst
 
Hii thread kuwa na 3 pages so far SAYS IT ALL.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…