Kama sio la kulima waweza nishirikisha na mimi tufanye partnershipNina wazo la mradi huku iringa vijijini naomba nikushirikishe mkuu.
Tafadhali sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama sio la kulima waweza nishirikisha na mimi tufanye partnershipNina wazo la mradi huku iringa vijijini naomba nikushirikishe mkuu.
Tafadhali sana.
Heeee nimekosa kigezo kimoja tu hapo mzee, idea ipo nzuri.oya wanangu Zero IQ na October man fursa ndo hii hapa sasa tukutane maisha club kula bata
Mtaji mkubwa kama million ngap?Heeee nimekosa kigezo kimoja tu hapo mzee, idea ipo nzuri.
Binafsi nikueleze kitu, kama nimepewa jicho la tatu hivi miezi miwili iliyopita nilikuwa nimewaza biashara fulani sehemu fulani niliona kabisa italipa week hii iliyopita jamaa kafungua biashara ileile palepale anapiga hela soko lipo kama nilivyotageti kwenye kichwa changu.
Mtaji kilio kiliooo.
Hili wazo lingine (Stationary)
_Kuna sehemu naona kabisa inahitaji stationary Dodoma along side Udom, stationery zipo nyingi ila hapo ni centric point ukipapata naukaweka pesa ya maana na ku-brand hutajuta, ni eneo ambapo palikuwa mgahawa ila ulikuwa haulipi kifaida ukiiwai na kuzungumza na wahusika kuna biashara. Ila panahitaji mtaji mkubwa kimazingira.
😂😂😂😂 mkuu Demiss anawaza kula nauli tuu sidhan kama hili lina mgusa!!Nisaidieni kumtag Demiss
Mkuu kibanda chako kipo pande gani niwe nakuja kula kiepe apo mara moja moja[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] una balaha wewe unataka nifunge kibanda changu cha kiepe
Ongeza mtaji fursa hiyo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] una balaha wewe unataka nifunge kibanda changu cha kiepe
All the best chief...Wasala-am,
Sometime ili ufanikiwe kwenye maisha unahitaji kupita kwenye njia tofauti kidogo,where it doesnt matter whether the road is rough or curved,remember "The grass is always greener on the other side of the fence"
Najua mtaani kuna vijana wengi wanaopambana na maisha na ni kweli wengi kati yetu hulalamika mtaji ni sababu inayotukwamisha kufanya vizuri
Naomba kutoa nafasi kwa kijana mmoja mwenye sifa hizi;
1.mkazi wa dodoma mjini
2.Anafanya biashara na anafikiri mtaji mdogo unamkwamisha kufika mbali zaidi
3.Mwenye wazo la biashara linalofanyika-na ana uzoefu na biashara kwa vitendo
KWANINI NATOA MILIONI 3?
Sio kwamba natoa bure,HAPANA?tutakaa tuzungumze na sina fixed conditons (ndio maana sijaandika humu) ila niko flexible kutokana na mazungumzo/makubaliano baina yetu ambapo tutayaweka kwenye maandishi na kweye mikataba ya kisheria(ikihitajika)
Maisha ni mazuri ukifanikiwa ila amini ni mazuri zaidi hasa ukifanikiwa na ukazungukwa na watu wenye mafanikio,
Lets keep up the good fight
0767833496/0622111186
Asanteni,
God bless you all
Zero wew wa mjini, huwez angaika na matapeli.Usinitie majaribuni
Mtaji wangu kiepe nilianza nao kwa elfu kumi ya mtaji wa kuchoma Mahindi mkuuZero wew wa mjini, huwez angaika na matapeli.
HahahaNisaidieni kumtag Demiss
Mkuu kwanini usichukue hiyo 3 uongeze nyama choma mbuzi na kuku ili mitego yako inase vizuri kwa wale viumbe wako pendwa.Mtaji wangu kiepe nilianza nao kwa elfu kumi ya mtaji wa kuchoma Mahindi mkuu
Sitaki hiyo mkuu kwa kuwa ninayo tayari Nusu yake inanitosha kesho nitaifikia hiyo na zaidi yakeMkuu kwanini usichukue hiyo 3 uongeze nyama choma mbuzi na kuku ili mitego yako inase vizuri kwa wale viumbe wako pendwa.
Asante kwa kunipa format nzuri ya CV ikiwa ndio namalizia masomo yangu, pia nashukuru zaidi ipo kwenye word ni ku-edit tu na ku-paraphrase.Mkuu nasaka ajira bado
Napost tu CV jukwaani Sina namna nyingine
nitaongeza Tisa pia
Mimi nitaongeza 2.5M
nitaongeza Tisa pia
GUYS KAMA MNA MAANISHA MNACHOKISEMA ... NAWEZA KUTENGENEZA BUSINESS IDEA FROM THIS ONE..Wasala-am,
Sometime ili ufanikiwe kwenye maisha unahitaji kupita kwenye njia tofauti kidogo,where it doesnt matter whether the road is rough or curved,remember "The grass is always greener on the other side of the fence"
Najua mtaani kuna vijana wengi wanaopambana na maisha na ni kweli wengi kati yetu hulalamika mtaji ni sababu inayotukwamisha kufanya vizuri
Naomba kutoa nafasi kwa kijana mmoja mwenye sifa hizi;
1.mkazi wa dodoma mjini
2.Anafanya biashara na anafikiri mtaji mdogo unamkwamisha kufika mbali zaidi
3.Mwenye wazo la biashara linalofanyika-na ana uzoefu na biashara kwa vitendo
KWANINI NATOA MILIONI 3?
Sio kwamba natoa bure,HAPANA?tutakaa tuzungumze na sina fixed conditons (ndio maana sijaandika humu) ila niko flexible kutokana na mazungumzo/makubaliano baina yetu ambapo tutayaweka kwenye maandishi na kweye mikataba ya kisheria(ikihitajika)
Maisha ni mazuri ukifanikiwa ila amini ni mazuri zaidi hasa ukifanikiwa na ukazungukwa na watu wenye mafanikio,
Lets keep up the good fight
0767833496/0622111186
Asanteni,
God bless you all
Thank you BossAll the best chief...