Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,816
- 8,809
Hii thread kuwa na 3 pages so far SAYS IT ALL.
Mimi mwenyewe Nina wasiwasi na mtoa post.Nilishuhudia taarifa ikitolewa kuna mwizi kaiba simu na bible kanisani na aliye ibiwa ni rafk yangu.
Dunia imefika pabaya.
Sijui huyu muandika uzi katoa wapi hii hekima.
Wajinga na wamfate kusumbua akili zao.
Kwa wazifa gani alio nao hadi aje atuambie haya???? Binadamu hayawani.
aiseeIla mkuu usije ukasikiliza idea ya mtu then unamchinjia baharini
Utapata Mungu ni mwema au omba hyo hela nenda dodoma kajaribuMkuu nasaka ajira bado
Napost tu CV jukwaani Sina namna nyingine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwaiyo we umefurahia kupata cvAsante kwa kunipa format nzuri ya CV ikiwa ndio namalizia masomo yangu, pia nashukuru zaidi ipo kwenye word ni ku-edit tu na ku-paraphrase.
Ila mkuu kwenye CV umesema una skills za ku-interact na computer Ms office then CV tu umeshindwa kui-publish kwenye PDF format uwoni umeongopa kabla ujapata ajira.
Loser thinkingIla mkuu usije ukasikiliza idea ya mtu then unamchinjia baharini
Na mimi nitaongeza nyingine 2
KIBANDA cha kiepeπππππ[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] una balaha wewe unataka nifunge kibanda changu cha kiepe
Wew jamaa ni hatari sanaAsante kwa kunipa format nzuri ya CV ikiwa ndio namalizia masomo yangu, pia nashukuru zaidi ipo kwenye word ni ku-edit tu na ku-paraphrase.
Ila mkuu kwenye CV umesema una skills za ku-interact na computer Ms office then CV tu umeshindwa kui-publish kwenye PDF format uwoni umeongopa kabla ujapata ajira.
KARIBUUU MKUU DODOMA ISHWARI WATAKAO NA WAJE!duuu ngoja niombe uraia wa dodoma