Natoa milioni 3 kwa kijana aliyeko Dodoma

Natoa milioni 3 kwa kijana aliyeko Dodoma

Nilishuhudia taarifa ikitolewa kuna mwizi kaiba simu na bible kanisani na aliye ibiwa ni rafk yangu.

Dunia imefika pabaya.

Sijui huyu muandika uzi katoa wapi hii hekima.

Wajinga na wamfate kusumbua akili zao.
Kwa wazifa gani alio nao hadi aje atuambie haya???? Binadamu hayawani.
Mimi mwenyewe Nina wasiwasi na mtoa post.
Hata ID yake imekaa kiujanja ujanja tu ili wazembe wa kufikiri waingie kingi.
 
Asante kwa kunipa format nzuri ya CV ikiwa ndio namalizia masomo yangu, pia nashukuru zaidi ipo kwenye word ni ku-edit tu na ku-paraphrase.

Ila mkuu kwenye CV umesema una skills za ku-interact na computer Ms office then CV tu umeshindwa kui-publish kwenye PDF format uwoni umeongopa kabla ujapata ajira.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwaiyo we umefurahia kupata cv
 
Mkuu Asante kwa hiyo fursa nakutafuta
 
Asante kwa kunipa format nzuri ya CV ikiwa ndio namalizia masomo yangu, pia nashukuru zaidi ipo kwenye word ni ku-edit tu na ku-paraphrase.

Ila mkuu kwenye CV umesema una skills za ku-interact na computer Ms office then CV tu umeshindwa kui-publish kwenye PDF format uwoni umeongopa kabla ujapata ajira.
Wew jamaa ni hatari sana
 
Binafsi nilishawahi onana na jamaa yupo peace sana, sababu alinisaidia kupata nilichokuwa nahitaji. Mengine ni siri ya mtu ila kama kuna mtu anahitaji msaada huo na yupo na wazo la biashara changamkia fursa.
 
Back
Top Bottom