Kwa nini umemuumbua hadharani aliyekupenda kimapenzi ?
Kwa hiyo angekuwa na pesa angekufaa πhuyu bwana hanifai pesa hana
Kwa hiyo angekuwa na pesa angekufaa [emoji23]
Halafu keshakimbia mazimaNdio kigezo cha kwanza [emoji39][emoji763] isome
Halafu keshakimbia mazima
Atakuwa ni mpare huyo jamaaNdio tabia yake kukimbia [emoji1787][emoji1787] akiambiwa suala la pesa
ππ[emoji23] Kwa nini umewahi hiyo kamati lakini
[emoji23] kwahiyo harusi hatuna ila bora umesemea mapema kuliko tungeingia gharamaNdugu zangu tusijichoshe huyu bwana pesa hana, yeye na mFrance wote choka mbaya.
Huyu bwana alishawai kumkimbia mwanamke bar na rafiki zake kisa elfu 10 ya chakula[emoji1787] na ndugu zangu mnanijua bwana mwenye mistari mingi km ya wimbo bora kwenye bible simtaki!!
Mimi nataka bwana mwenye pesa shopping ya harusi twende Dubs
[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] harusi hakuna bwana harusi mpk sasa bank account haijasoma bado hajaweka mzigo
[emoji1787][emoji1787] Hili ndio lengo letu la kukuweka kwenye hii kamatiMnataka mrudi nyumbani mkiwa mnatambaa? [emoji1787][emoji1787]
Dili limeyeyuka π[emoji23] kwahiyo harusi hatuna ila bora umesemea mapema kuliko tungeingia gharama
Muhimu ka kosta kawepo ka kusambaza watu makwao watakao zima ππ[emoji1787][emoji1787] Hili ndio lengo letu la kukuweka kwenye hii kamati
[emoji23] kwahiyo harusi hatuna ila bora umesemea mapema kuliko tungeingia gharama
Dili limeyeyuka [emoji23]
Sijafurahi ujue, nimesikitika mno kwa musee wa sura mbaya kutoswa.Mbona umefurahia sana huyu bwana kukataliwa?!! Vipi unataka kujiweka tuweke dau mezani [emoji12]
Doooh [emoji41]Harusi hakuna mpk aweke mzigo sitaki kwenda kuishi na bwana hana pesa plus ilo sura linatisha hivyo ndugu yenu nitapata sonona
[emoji123][emoji91][emoji16][emoji16][emoji16]aya hongera