Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chereko chereko mwali kakua😊😊Bwana kapata bibiiii na bibi kapata bwanaah aririiiiiii [emoji23]
🤣🤣🤣🤣Nakimudu mjumbe,Nina uzoefu nacho usihofuIla ndugu yangu mbona unanitisha sasa na hiki cheo chako unavyosisitiza sana
😀😀😀anataka acopy na kupasteIla ndugu yangu mbona unanitisha sasa na hiki cheo chako unavyosisitiza sana
[emoji23] Asante sanaUmepita bila kupingwa
Hapo tutakunywa mpaka kuchweMambo ni bambam[emoji91][emoji91]
SanaaaaSafii sana Depal atatutendea haki
Hadi tujue upande wa bwana harusi wamejipangaje ..😀We ni katibu wa kamati ujue
Haaminiki ..hata mim bwana harusi simuamini kabisaaShida ndugu yetu Cute Wife asije akatuangusha tu
Uko vizuri!uko vizuri!Tunapunguza maua tunapunguza maids tunaweka nyama 😀😀😀 hata wali unaweza usiwepo
Na huuChereko chereko mwali kakua[emoji4][emoji4]
Dj asisahau wimbo wa aiyaiyaiya kuolewa ntarudi nyumbani kutembea
Si wanaoa jamani na sisi tunamfanyia send off ndugu yetu ya kumuaga kama familiaHadi tujue upande wa bwana harusi wamejipangaje ..[emoji3]
[emoji23] yaani hatutakiwi kumwamini kabisaMaana nae kichwa chake kipo race huyu ndugu yetu....anaweza kutupiga tukio
[emoji23] Sasa itakuwajeHaaminiki ..hata mim bwana harusi simuamini kabisaa
Huu dj anatakiwa aurudie rudieNa huu
Huyoo ni chaguo lako (chaguo lako)
Huyoo ni chaguo lako (chaguo lako)
Huyo ni chaguo lako (chaguo lako)
Hatakama ni mrefu, hatakama ni mfupi
Hatakama ni mnene, hatakama ni mwembamba
Huyo ni chaguo lako, huyoo ni chaguo lako
Hatakama ni mweusi, hatakama ni mweupe
Huyoo ni chaguo lako, Huyo ni chaguo lako Huyoo ni chaguo lako (chaguo lako)
Huyoo ni chaguo lako (chaguo lako)
Huyo ni chaguo lako (chaguo lako)
[emoji23] [emoji23]Huu dj anatakiwa aurudie rudie
Akatoe wapi hako ka screen shot?Sindikiza na ka screenshot basi mkuu
Ndugu zangu tusijichoshe huyu bwana pesa hana, yeye na mFrance wote choka mbaya.
Kwa nini umemuumbua hadharani aliyekupenda kimapenzi ?Ndugu zangu tusijichoshe huyu bwana pesa hana, yeye na mFrance wote choka mbaya.
Huyu bwana alishawai kumkimbia mwanamke bar na rafiki zake kisa elfu 10 ya chakula🤣 na ndugu zangu mnanijua bwana mwenye mistari mingi km ya wimbo bora kwenye bible simtaki!!
Mimi nataka bwana mwenye pesa shopping ya harusi twende Dubs