Natoa pongezi kwa wadada wote wa JamiiiForums mnaonifuata PM mkitaka tuchati nakutaka kujua Mimi ni wa namna gani

Natoa pongezi kwa wadada wote wa JamiiiForums mnaonifuata PM mkitaka tuchati nakutaka kujua Mimi ni wa namna gani

Chereko chereko mwali kakua[emoji4][emoji4]

Dj asisahau wimbo wa aiyaiyaiya kuolewa ntarudi nyumbani kutembea
Na huu

Huyoo ni chaguo lako (chaguo lako)
Huyoo ni chaguo lako (chaguo lako)
Huyo ni chaguo lako (chaguo lako)

Hatakama ni mrefu, hatakama ni mfupi
Hatakama ni mnene, hatakama ni mwembamba

Huyo ni chaguo lako, huyoo ni chaguo lako

Hatakama ni mweusi, hatakama ni mweupe
Huyoo ni chaguo lako, Huyo ni chaguo lako Huyoo ni chaguo lako (chaguo lako)

Huu dj anatakiwa aurudie rudie
 
Sisi kama ndugu wa mke harusi tunayo au hatuna ndugu yetu maana tunajua we na wabongo vitu viwili tofauti

Ngoja niwaite ndugu zangu tujiandae na kamati ya harusi [emoji23]

Amehlo
Depal
Joannah
Mrs Lissu
Ndugu zangu tusijichoshe huyu bwana pesa hana, yeye na mFrance wote choka mbaya.

Huyu bwana alishawai kumkimbia mwanamke bar na rafiki zake kisa elfu 10 ya chakula🤣 na ndugu zangu mnanijua bwana mwenye mistari mingi km ya wimbo bora kwenye bible simtaki!!
Mimi nataka bwana mwenye pesa shopping ya harusi twende Dubs
 
Kwa nini umemuumbua hadharani aliyekupenda kimapenzi ?
 
Back
Top Bottom