Natoa pongezi kwa wadada wote wa JamiiiForums mnaonifuata PM mkitaka tuchati nakutaka kujua Mimi ni wa namna gani

Natoa pongezi kwa wadada wote wa JamiiiForums mnaonifuata PM mkitaka tuchati nakutaka kujua Mimi ni wa namna gani

Kama kuna mwanamke amepoteza muda wake kuja PM kujua wew ni nani huyo ana matatizo ya akilii otherwise LIPIA TANGAZO

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mbona unamsagia kunguni!! Hutaki akuletee kimasihara yake kule kwenye uzi wenu pendwa?
 
[emoji1787][emoji1787] nimegundua ndugu zangu hamnipendi kabisa mmenichoka kuniona nyumbani
[emoji23] Tunakupenda sanaaaa ndio maaana tunakuozesha kwa shemeji mwenye kibunda chake
 
Back
Top Bottom