Utakuwa ulisoma vipengele vyote vya ule mkutano wa Beijing walidai kama wanaume wanaweza oa zaidi ya mwanamke mmoja na wanawake pia waweze kuoa wanaume zaidi ya mmoja na walitolea mfano Mongolia ambapo wanaume wanapangiwa ratiba siku ya kuja kulala na India ndugu wawili/watatu wanaoa mwanamke mmoja kupunguza gharama.Hahaha nafurahi umefurahi dearest ila punguza sauti dada jirani asikusikie akadhani una mgeni ndani wakati mwenyewe anakumendea!!!!
Sasa ntafanyaje wakati nawapenda???

Basi samahanini ila nilikuwa najaribu kuepusha shari kwa bwana mdogo kaju manake atakapopigwa kombora wana jf tutalazimika kuahirisha shughuli za kila siku ili tukazike na matanga juu!
Hahaha....mchungaji kuna waumini hapa ujue!!Itabidi tuunganishe midomo!,,
Hahaha....mchungaji kuna waumini hapa ujue!!
Rev leo sio zamu yako Liz yuko kwangu Sunday/monday,kwako tuesday/wednesday,kwa CPU thurday/friday na Jumamosi anapumzika.Itabidi tuunganishe midomo!,,
Nimependa hiyo ya kupanga ratiba.....ngoja niandae yangu!Utakuwa ulisoma vipengele vyote vya ule mkutano wa Beijing walidai kama wanaume wanaweza oa zaidi ya mwanamke mmoja na wanawake pia waweze kuoa wanaume zaidi ya mmoja na walitolea mfano Mongolia ambapo wanaume wanapangiwa ratiba siku ya kuja kulala na India ndugu wawili/watatu wanaoa mwanamke mmoja kupunguza gharama.

Una kesi hujatuma PM kwa mch Kama ilivyokupasa!
Ungejua macho yalivyowatoka....wanashangaa baba mchungaji anajua kubusu!!Hawasomi thread za mt rev fr masa!
Rafiki naona si haba kuna mtu anakuja kutoa posa sio wale wakudondoka/zimika lol!

Good Boy lkn picha hujaweka bana Kajuna asijekimbia bure au kanusha
Rev leo sio zamu yako Liz yuko kwangu Sunday/monday,kwako tuesday/wednesday,kwa CPU thurday/friday na Jumamosi anapumzika.

Rev leo sio zamu yako Liz yuko kwangu Sunday/monday,kwako tuesday/wednesday,kwa CPU thurday/friday na Jumamosi anapumzika.
Dearest embu naomba tutafutane kesho....Rev leo sio zamu yako Liz yuko kwangu Sunday/monday,kwako tuesday/wednesday,kwa CPU thurday/friday na Jumamosi anapumzika.

Mch. Futa PM natuma inasema msg haiendi

Rafiki naona si haba kuna mtu anakuja kutoa posa sio wale wakudondoka/zimika lol!
Mnaongea nini huko PieM????Maombi yanaishia kanisani!!

Mch. Futa PM natuma inasema msg haiendi

Wewe na akiwa kwenye ban ki-moon?
Niko naye kila siku ndotoni nahuwa namaliza Kila kitu! Muuulize tu

Duuuuh itabidi uje Zeenji kufikisha ujumbe Kama njiwa

Ndani ya saa 3 kwa saa za afrika mashariki itakuwa imefika

Mnaongea nini huko PieM????Maombi yanaishia kanisani!!