Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,009
- 60,629
Mpaka kanzu anavua.....inauma sana tu!

Ha ha ha wivu sina lkn roho inauma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka kanzu anavua.....inauma sana tu!

Ha ha ha wivu sina lkn roho inauma
Ngoja nivue kanzu na msuli
Ndoto uote wewe nimuulize dearest ? endelea kuota tu.Niko naye kila siku ndotoni nahuwa namaliza Kila kitu! Muuulize tu
Si tunakumbatiana na kumuonyesha nampenda muda wote sio wanaowakimbia wake zao muda huo wa kuwaonyesha upendo zaidi.

Wewe na akiwa kwenye ban ki-moon?

Si tunakumbatiana na kumuonyesha nampenda muda wote sio wanaowakimbia wake zao muda huo wa kuwaonyesha upendo zaidi.
Si tunakumbatiana na kumuonyesha nampenda muda wote sio wanaowakimbia wake zao muda huo wa kuwaonyesha upendo zaidi.
Si naona mapinduzi yako njiani....bora niondoke mwenyewe!

Haiwezekani...
mi lav yu tu lizzy.Dearest mi luv yu sana!!!!
Si naona mapinduzi yako njiani....bora niondoke mwenyewe!
Wakati dalili naziona......!?Hapinduliwi mtu hapa
Hakuna bana acha kukata tamaa
Dena,we kweli umeumbwa uwe lishemeji langu,maana na hili jina Kajuni,si unaona?
We DENA wewe wewe wewe!!!
nakushangaa tena nakunukuu 'UTAMALIZA BUCHA ZOTE LAKINI NYAMA NI ILE ILE(ZOTE ZINATOA DAMU TENA NYEKUNDU)
leo hii yamekuwa hayo haya kesho usije na kilio humu ndani ooh nimetendwa naombeni ushauri nimemfumania karudi usiku .......
kila la kheri NAOMBA MSINISAHAU KAMATI YA VINYWAJI shem nimesha muomba nimekumbushia na kwako:israel:
😛hone:mi lav yu tu lizzy.