Natoa shahawa nyingi sana wakati wa tendo la ndoa

Sawa,ila naomba uamini.nina akili timamu ndo maana nasema hii ya kwangu imekaaje?
 
Sawa,ila naomba uamini.nina akili timamu ndo maana nasema hii ya kwangu imekaaje?
Utakuwa unaumwa nenda kamuone daktari..
Usikute shahawa zina mix na mkojo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
IVI SHULE BADO HAMJAFUNGUA MAANA NAHISI LIKIZO IMESHAISHA[emoji3]
 
Utakuwa unaumwa nenda kamuone daktari..
Usikute shahawa zina mix na mkojo[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hamna kitu kama hicho,shahawa haiwezi kumix na mkojo maana nakojoa kabla ya tendo na shahawa nazijua vizuri sana, ila mi c mlaji wa vyakula vya kisasa mkuu
 
Hamna kitu kama hicho,shahawa haiwezi kumix na mkojo maana nakojoa kabla ya tendo na shahawa nazijua vizuri sana, ila mi c mlaji wa vyakula vya kisasa mkuu

Mkuu mpaka sasa hivi nimeshafanya vipimo vya shahawa hospitali doctor kaniambia niko sawa na yako freshi kabisa,ila bado naona ,yanazidi na doctor aliniambia nipunguze baadhi ya vyakula , lakini bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…