Natoa shahawa nyingi sana wakati wa tendo la ndoa

angalia usijepiga bao moja mimba ya watoto saba kama nguruwe.
hivi mkuu M.Melo matangazo humu ndani hatulipii??
 
Usijali dogo, hata mm kaka ako nipo hvyo tena huwa natupia 30 minutes and above, na zikito sikuwa nyingi sana!!! So worry out
 
labda amuoe monicccca wa fj ndoo analetaga story za kuungua na shahawa ..........
 
yaani km unapiga bao saba na idadi ya shahawa haipungui inabidi uzitafutie wateja fanya biashara ww sio wa kawaida.muhim ziwe na uwezo wa kuzalisha basi hata ukijaza kisado poa tu
 
yaani km unapiga bao saba na idadi ya shahawa haipungui inabidi uzitafutie wateja fanya biashara ww sio wa kawaida.muhim ziwe na uwezo wa kuzalisha basi hata ukijaza kisado poa tu

Nimeanza kubadilisha mlo
 
Unakula vyakula gani kwa mfano?

Mvinyo mwekundu,chaza na pweza,tangawizi,tikitiki maji,parachichi,vanila,blueberry,mtini au figs,karanga,vitunguu saumu,ndizi,chocolate,mbegu za matunda kama mboga,tikitiki,pamoja na nazi mbata.nashukuru mzee wangu ni mkulima mkubwa sana kwa hiyo nayapata kwa urahisi sana.
 
yaani km unapiga bao saba na idadi ya shahawa haipungui inabidi uzitafutie wateja fanya biashara ww sio wa kawaida.muhim ziwe na uwezo wa kuzalisha basi hata ukijaza kisado poa tu

Mkuu kuna dada nilimtia mimba mapacha watatu kwa bahati mbaya ikachomoka
 
Dunia ina mambo
Wengine hamna kitu,
Wengine wanazo nyingi hadi kero.
Kipi bora, uwe nazo au usiwe nazo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…