Natoa shahawa nyingi sana wakati wa tendo la ndoa

We huwa unajikojolea usitafute kiki hapa! eti bao 6 mpaka 7 ...
 
Ndiyo umeanza endelea kupiga pupunchi zitapungua zenyewe..!
Sasa kama ulivunja ungo at 18 about 8 years hiyo stock ni kubwa mno..![emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
tafuta bwana kama unaona usumbufu
 
Mihogo,mbata na karanga maeneo mbalimbali ya jiji ni sababu kubwa kwa tatizo hili.
 
Umekuwa tembo? Maana tembo akipiga bao moja Lita tano
 
unaweza kutoa nyingi yakawa maji un productive hilo nalo na kuangalia

utakuwa wa tofaut cna
 
Kutoa manii nyingi si ndio uwezo wa kuwafanya wanawake vizuri. KWA mwanamke kumkojolea haraka hivyo kabla yeye hajakojoa wanaona kuwa ni kumdhulumu haki yake na kumchafua, anaona ni kama umemgeuza tambara LA kufutia uchafu wako. Mimi nakushauri umwone daktar KWA uchunguzi zaidi, isitoshe huenda ukashindwa kutungisha mimba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…