Natoa shahawa nyingi sana wakati wa tendo la ndoa

Kaka nenda hospitali watu wa humu watakukwaza na comment zao. Mwone daktari atakucheck na atakupa jibu ambalo litatuliza moyo wako
 
Acha sifa. Hakuna hicho kipimo cha shahawa. Na Kama ni kweli basi nenda ukapewe tuzo ya GINESS
 
Mi sijaona tatizo kabisa, hio ni hadhina!

Wala hakuna tatizo mkuu niko salama kabisa,nimeona na maspecialist ,wameniambia watu kama mimi wapo ila ni wachache sana
 
Nusu ya kondomu, unajua kondomu inaweza kubeba kimiminika chenye ujazo wa ltr 20 au zaidi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…