Baby Nimah
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 758
- 911
Hapana mkuu Mimi nilikuwa sikusanyi pesa nilikuwa nataka vocha tuuHujasema sasa umekusanya shilingi ngapi.
Ila pole sana kama ulifikwa na shida.
Hapana mkuu Mimi nilikuwa sikusanyi pesa nilikuwa nataka vocha tuu
Hao walio NISAIDIA sikuwaomba hela ni vocha mkuu
Nikwel lakini hauwezi igeuza kuwa pesa bossVocha nayo ni pesa iliyo kwenye mfumo wa kielekitroniki.
Nikwel lakini hauwezi igeuza kuwa pesa boss
Sawa mkuu asanteInaweza kugeuzwa kuwa pesa endapo utaiuza.
Hakuna kisichowezekana chini ya jua. Kama Amber Ruty aligeuzwa ije kuwa pesa?
[emoji23][emoji23][emoji23] sawa mkuu karibu....Naweza tuma vocha na mimi?...
Ya vocha tayari labda ya soda....Naweza tuma vocha na mimi?...
.....Sawa,naweza pata na ile huduma pendwa?..[emoji23][emoji23][emoji23] sawa mkuu karibu
HahaInaweza kugeuzwa kuwa pesa endapo utaiuza.
Hakuna kisichowezekana chini ya jua. Kama Amber Ruty aligeuzwa ije kuwa pesa?
Haduma gani.....Sawa,naweza pata na ile huduma pendwa?..
Tafutahuo uzi upo wapi? na sisi tutume
weka namba basi tujitume
JAMANI NAOMBENI MSAADA WENU - JamiiForumshuo uzi upo wapi? na sisi tutume
weka namba basi tujitume