Natoa shukrani kwa wote mlionisaidia

Natoa shukrani kwa wote mlionisaidia

Baby Nimah

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
719
Reaction score
833
Jamanii asanteni sana wale wote mlionisaidia na hata wale mlio nibeza mungu awabariki sanaaa

Leo asubuhi nilipata dharura kidogo nikawa sina pakuanzi kila niliye mtafuta kimya nikaona isiwe tabu ngoja niombe msaada kwa wanajamii

Bila kujali watanipokea vipi shida yangu ilikuwa vocha ya tsh 2000 mungu ni mwema kuna ambao walinitukana wengine walinifariji

NAOMBA NITOE SHUKRANI ZANGU ZA DHATI KWA WALE WOTE WALIO NISAIDIA NILIFANIKIWA
Msaada walio nipa kwangu Mimi ni mkubwa mnooo we unaweza sema kidogo lakini Mimi kwangu nikikubwa mnooo

Mungu awabariki sana [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]


NB:hili sio jina langu wala Mimi sio huyo mnaye mzania mtusi mpunguze
Nitaongea na wakuu wanibadilishie

[emoji319][emoji319][emoji319][emoji319][emoji319][emoji319][emoji319][emoji319][emoji319][emoji319][emoji319][emoji319][emoji319]View attachment 977024


JAMANI NAOMBENI MSAADA WENU - JamiiForums
 
Back
Top Bottom