Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 11,097
- 17,929
Hahahahaaaa, kwa mwendo huo utamaliza Hela zangu zote.Njoo nipe kampany
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaaaa, kwa mwendo huo utamaliza Hela zangu zote.Njoo nipe kampany
Hiyo kitu nasikia wanaipiga madhabauniMa padri wana enjoy asikwambie mtu...mkuu
Mkuu acha wivu sitaman kukuonyesha kampany niliyonayo hapa ukiona kila mtu na pombe yakeHuyu atakuwa bar tender maana ana picha za beer za papo kwa papo nyingi
Mm natumia zangu kampany tuHahahahaaaa, kwa mwendo huo utamaliza Hela zangu zote.
Ndio mkuu hawa ma padri si wa mchezo maana nishaanza isikilizia mziki wake hapa home...[emoji4] [emoji4]Hiyo kitu nasikia wanaipiga madhabauni
Tuonyeshe hata miguu ya Wateja wako kama watakuruhusu kupiga pichaMkuu acha wivu sitaman kukuonyesha kampany niliyonayo hapa ukiona kila mtu na pombe yake
Hahahahaaaa, angalia usije enda kusalisha MisaNdio mkuu hawa ma padri si wa mchezo maana nishaanza isikilizia mziki wake hapa home...[emoji4] [emoji4]
Kampani ya kuongea au mpaka naniliii?Mm natumia zangu kampany tu
[emoji4] [emoji4] [emoji4] ni glass moja tyu nineonja maana nilianza mapema na safari.. ndio nataka nikaanze piga gia vizuri sasaHahahahaaaa, angalia usije enda kusalisha Misa
[emoji23][emoji23][emoji23] aisee[emoji4] [emoji4] [emoji4] ni glass moja tyu nineonja maana nilianza mapema na safari.. ndio nataka nikaanze piga gia vizuri sasa
Tatizo hairuhusiw hapa jf ninavyotaman kuwaonyesha waheshimiwa niliokaa nao [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]Tuonyeshe hata miguu ya Wateja wako kama watakuruhusu kupiga picha
Mwambie huyo ananichukulia poah eeee[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
Hapana mkuu... nisije kuwa nipo soft zaidi yake [emoji4] [emoji4] bado namfanyia vettingHahahahaaaa, Demiss njoo huku haraka.
Ila mkuu huyu mtoto yuko vizuri amini nilicho andika, we rusha ndoano tu.