Natoa tamko kuhusu ushindi wa Diamond

jojoe35

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2014
Posts
262
Reaction score
378
Diamond ni mtu anaeonyesha juhudi nyingi sn ktk kujiinua kimziki, anafight ucku na mchana, ana hakikisha hapotezi fursa yoyote inayojitokeza ili kuinua mziki wetu

POINT; Niwazi kwa wakati kama huu ilihitajika kichwa chenye juhudi, kipaji na nyota yakupendwa na watu kama diamond ili mziki wetu upenye duniani coz waliotangulia wote waliprove failure, ndio sikatai waliotangulia walifnya sehem yao wakaishia apo dogo kaja katupeleka adi kilele

Ss basi natoa tamko rasmi, kuna watu wanatumia jasho la diamond kuboost mziki wao, mtu anahangaika ucku na mchana kujiinua kimziki aaf jitu limelala ucku kucha kwake tena cyo kwake ebo! Limeridhika kama linaatamia mayai utalickia chumban linapost #king beef lake na diamond linampa airtime kusikilizwa kila jina la diamond likitajwa africa

Kama ni king alikua wap kua maarufu africa kabla diamond hajatoka? R kelly alimpa airtime but ni kama alipata zali la mentali akapata kichwa akaatamia mayai, saiv ndoaanza kutumia jasho la diamond kujiboost ili asikilizwe ad kuchukua madem wa zaman wa diamond akifikir itamsaidia

Diamond kafika level ambazo ata kina davido manguli wa africa wamebaki midomo wazi hawaelewi kabadirisha upepo wa industry kuitazama tanzania kwa sasa,

so kuanzia leo wale mnaomtaja kiba wakat jina la diamond limetajwa MUACHE kumpa airtime kiba yakusikilizwa afanye juhudi zake kimpango wake nayeye afike uku #msaniiwadunianzima #worldwideact NISISIKIE KIBA ANATAJWA KWA DIAMOND, TUMECHOKA KUMPA KIKI YAKUSIKILIZWA, NAUMIA SANA ANAVOTUMIA JINA LA DIAMOND KUJULIKANA AFRICA NAYEYE NI MSANII APIGANE KIMPANGO WAKE KAMA HAWEZI AKAENDELEE NA KANDANDA

"MWISHO WA TAMKO"
 
ni kweli.....mijitu imekalia king king...kama ni mfalme si aipiganie nafsi yake watu wanataka kudhani tupo east n west coast za kina #tupac!
king hata demu unachukua makombo....hii kweli tz
*viva mondi matuzo tuuuuu
 
Haahaaa mdau unahasiraa sanaa...nikweli at ifike mahali huyu babu aache kupanda mgongoni mwa mwanaume
 
davido nae kaona asiachwe nyuma kapost instagram kummwagia sifa zake KING OF AFROPOP, yani ukijumlisha stress za uchaguzi, na chuki kwa diamond kuna watu wapo kwenye wakati mgumu sana Maombi yenu muhimu wadau!!
 
Mi kweli uchaguzi haujanifanyia haki, ila nikirudi kwa the Icon of the nation nafarijika sanasana sisi mashabiki wa DIAMOND tumeshaliongelea sana hilo la kiba kutoka kwa msaada wa kile kinachoitwa bifu na tumeshasema pale hakuna muziki kwa sasa labda hiyo zamani na wanaomshabikia huyu jamaa ni wale wanaopunguza stress zao za kuachwa.
 
we ndo umenena.mshamba yule kapoteza chansi kwa R.KELLY.hatutaki kumlinganisha Diamond na A.K ni kosa LA jinai na wafungwe kisheria.Viva Wasafi.
 
Last edited by a moderator:
Ni bahati mbaya tu hii tuzo kubwa kapewa kipindi ambacho tuna swala la uchaguzi ila ilipaswa tumbebe juu juu kutoka Airport hadi Tandale alikozaliwa ili kuonyesha kwamba huyu ndiye mfalme, mfalme aliyeupigania ufalme wake kutoka uswahilini Tandale hadi kupata ufalme wa dunia.
 
Na wote tuseme...... :thumbup: loooohhh eti anaatamiaaa😛
 
kiba alinganishwe na dimpoz labda sio diamond tena,diamond habari nyingine ni sawa kumfananisha wiz khalifa na msanii wa hip hop bongo
 
Jamaa kashashindikana, hakuna namna ya kumshusha, only God can
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…