jojoe35
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 262
- 378
Diamond ni mtu anaeonyesha juhudi nyingi sn ktk kujiinua kimziki, anafight ucku na mchana, ana hakikisha hapotezi fursa yoyote inayojitokeza ili kuinua mziki wetu
POINT; Niwazi kwa wakati kama huu ilihitajika kichwa chenye juhudi, kipaji na nyota yakupendwa na watu kama diamond ili mziki wetu upenye duniani coz waliotangulia wote waliprove failure, ndio sikatai waliotangulia walifnya sehem yao wakaishia apo dogo kaja katupeleka adi kilele
Ss basi natoa tamko rasmi, kuna watu wanatumia jasho la diamond kuboost mziki wao, mtu anahangaika ucku na mchana kujiinua kimziki aaf jitu limelala ucku kucha kwake tena cyo kwake ebo! Limeridhika kama linaatamia mayai utalickia chumban linapost #king beef lake na diamond linampa airtime kusikilizwa kila jina la diamond likitajwa africa
Kama ni king alikua wap kua maarufu africa kabla diamond hajatoka? R kelly alimpa airtime but ni kama alipata zali la mentali akapata kichwa akaatamia mayai, saiv ndoaanza kutumia jasho la diamond kujiboost ili asikilizwe ad kuchukua madem wa zaman wa diamond akifikir itamsaidia
Diamond kafika level ambazo ata kina davido manguli wa africa wamebaki midomo wazi hawaelewi kabadirisha upepo wa industry kuitazama tanzania kwa sasa,
so kuanzia leo wale mnaomtaja kiba wakat jina la diamond limetajwa MUACHE kumpa airtime kiba yakusikilizwa afanye juhudi zake kimpango wake nayeye afike uku #msaniiwadunianzima #worldwideact NISISIKIE KIBA ANATAJWA KWA DIAMOND, TUMECHOKA KUMPA KIKI YAKUSIKILIZWA, NAUMIA SANA ANAVOTUMIA JINA LA DIAMOND KUJULIKANA AFRICA NAYEYE NI MSANII APIGANE KIMPANGO WAKE KAMA HAWEZI AKAENDELEE NA KANDANDA
"MWISHO WA TAMKO"