Natoa Tsh 100,000 kwa ku design seasoning bottle brand

Bullshit

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
1,357
Reaction score
1,596
Nina biashara yangu ya kuuza viuongo, nataka mtu anaweza kudesign muonekano mzuri wa brand yangu kwa bidhaa zifuato

Tea masala : 100g
Black pepper: 500g
Garlic: 250g
Ginger: 250g
Cinnamon: 250g

Nataka logo iwe juu na jina la bidhaa chini la logo yakiwa makubwa kidogo alafu chini ni ujazo wa chupa.
weka sehemu ya barcode na maelezo ya bidhaa.

Unaweza kunitumia kazi yako hapa au ukacomment jina la account yako ya instagram nikaangalia kazi yako ili nikutafute mwenywe
 

@poorbrain
Poor Brain
 
Jina la logo unayotumia.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…