Natoa Tsh 100,000 kwa ku design seasoning bottle brand

Ninazo Mkuu sample nilishawahi kumfanyia Mama fulani Afisa wa TRA ni PM nikuoneshe sample

Lakini hiyo ofa yako ni ndogo sana aisee
 
Pm if uko interested
 

Attachments

  • Black and Green Tea Plantation Logo_20241006_182715_0000.png
    57.4 KB · Views: 5
Mkitumiwa mnaenda kuwapa watu wenu wanaprint toa hiyo hela udesiniwe utumiwe hadi upende ukabidhiwe hakuna kazi za bure labda watu wanaotaka kukusaidia
 
Mkitumiwa mnaenda kuwapa watu wenu wanaprint toa hiyo hela udesiniwe utumiwe hadi upende ukabidhiwe hakuna kazi za bure labda watu wanaotaka kukusaidia
umeelewa lakini, sample na na print vipi ambayo haina hata lego yangu
 
Naelewa nimefanya hzi kazi miaka kibao unachukua hapa unapeleka kwa mtu wako anaeka logo yako kwisha
Ndo kwamba nimeshndwa kuchukua idea ya brand zingine alafu niweke logo yangu.
 
Kazi yeyote inayohusiana na designing mtu hawezi kukufanyia hivyo......
Ingia instagram tafuta designers uwape tenda wa kazi unayotaka kwa kuangalia kazi zao za nyuma au tumia official media zingine kuandaa shindano na majudge wako kabisa watu waingie kazin kukufanyia hiyo kitu.
Kumbuka unatengeneza taswira ya biashara yako,au kama una idea unapresent kwenye karatasi then ukimpa mtaalamu anakuboreshea vizur zaid.
Ila hiyo ya mtu aumize kichwa kwa ajili ya kukupa wewe sample ambayo pia ukipenda unaweza kuitumia bila mtu kufaidika,hakuna pro yeyote atakayeangaika na wewe.
Nb Artwork yeyote hupendeza kulingana na mtazamo wa mtu halafu hupendeza zaid ikifanyiwa promo kubwa na kuzoeleka
Angalia logo ya nike,addidas,pepsi,voda zipo simple sana then angalia logo za superlouf,shule yako ya msingi uliyosoma🀣🀣🀣🀣,zina mambo mengu
So safari njema kwenye kiwanda chako mkuu
 
Habari Mkuu. Nipe hiyo contract kaka
 

Attachments

  • JamiiForums-320920614.jpeg
    83.7 KB · Views: 3
  • LOGORIDDIM LOGO PROMO 3.png
    249.3 KB · Views: 2
  • LOGORIDDIM LOGO PROMO 2.png
    225.5 KB · Views: 2
  • LOGORIDDIM LOGO PROMO 1.png
    228 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…