Natoa ushauri wa bure juu ya aina nzuri na bora ya trekta na pia nauza matrekta

desertfox

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2014
Posts
347
Reaction score
244
Je wewe n mkulima au ungetamani kuingia kwenye kilimo natoa ushauri wa bure juu ya Aina nzuri Na Bora ya trekta ?

Na connect na trekta zinazouzwa Bei nafuu hapa Tanzania (unanip posho kidg)

Na connect na fund Bora kulingana Na Aina ya trekta mnakaribishwa?

Hiyo hapo chin Fiat 80-66 mil15
IMG-20180815-WA0005.jpg
 
Weee hiyo trekta gan ya 15MIL labda muozo hata hii corolla yng sikununua hiyo bei
 
Je wewe n mkulima au ungetamani kuingia kwenye kilimo natoa ushauri wa bure juu ya Aina nzuri Na Bora ya trekta ?

Na connect na trekta zinazouzwa Bei nafuu hapa Tanzania (unanip posho kidg)

Na connect na fund Bora kulingana Na Aina ya trekta mnakaribishwa?

Hiyo hapo chin Fiat 80-66 mil15 View attachment 858331
Mkuu hili ni trekta la HP ngapi na limetengenezwa nchi gani na je ni used au jipya. Tafadhari nijibu ninalihitaji na yanapatikana wapi hapa nchini.
 
Fiat ni Brand ya Italy. Uki google hiyo model itakwambia capacity yake
 
mkuu ka unaweza nifanyia mpango nikapata tairi used za trekta itakuwa poa sana,
 
Naomba kujua Trekta lenye Uwezo wa kulima kila aina ya aridhi na lenye nguvu ya kutosha masaa 24
 
Niwekeee namba pm nikucheki kama hapa umegoma mzeee baba
 
Je wewe n mkulima au ungetamani kuingia kwenye kilimo natoa ushauri wa bure juu ya Aina nzuri Na Bora ya trekta ?

Na connect na trekta zinazouzwa Bei nafuu hapa Tanzania (unanip posho kidg)

Na connect na fund Bora kulingana Na Aina ya trekta mnakaribishwa?

Hiyo hapo chin Fiat 80-66 mil15 View attachment 858331
Mkuu nahitaji tractor...
Naomba mawasiliano nawe
 
Back
Top Bottom