Mkuu hili ni trekta la HP ngapi na limetengenezwa nchi gani na je ni used au jipya. Tafadhari nijibu ninalihitaji na yanapatikana wapi hapa nchini.Je wewe n mkulima au ungetamani kuingia kwenye kilimo natoa ushauri wa bure juu ya Aina nzuri Na Bora ya trekta ?
Na connect na trekta zinazouzwa Bei nafuu hapa Tanzania (unanip posho kidg)
Na connect na fund Bora kulingana Na Aina ya trekta mnakaribishwa?
Hiyo hapo chin Fiat 80-66 mil15 View attachment 858331
Fiat ni Brand ya Italy. Uki google hiyo model itakwambia capacity yakeMkuu hili ni trekta la HP ngapi na limetengenezwa nchi gani na je ni used au jipya. Tafadhari nijibu ninalihitaji na yanapatikana wapi hapa nchini.
Google itaniambia kama ni used au mpya na linauzwa mkoa gani hapa Tanzania? au hicho kiwanda kimetengeneza Trekta hilohilo moj?, Watu wengine mnafanya biashara za ujimaFiat ni Brand ya Italy. Uki google hiyo model itakwambia capacity yake
Za mbele au nyuma na uko wap wwmkuu ka unaweza nifanyia mpango nikapata tairi used za trekta itakuwa poa sana,
za nyuma. 18.4-30 mkuu nipo darZa mbele au nyuma na uko wap ww
Mkuu nahitaji tractor...Je wewe n mkulima au ungetamani kuingia kwenye kilimo natoa ushauri wa bure juu ya Aina nzuri Na Bora ya trekta ?
Na connect na trekta zinazouzwa Bei nafuu hapa Tanzania (unanip posho kidg)
Na connect na fund Bora kulingana Na Aina ya trekta mnakaribishwa?
Hiyo hapo chin Fiat 80-66 mil15 View attachment 858331
nicheki boss agriculfarminc@gmail.comJe wewe n mkulima au ungetamani kuingia kwenye kilimo natoa ushauri wa bure juu ya Aina nzuri Na Bora ya trekta ?
Na connect na trekta zinazouzwa Bei nafuu hapa Tanzania (unanip posho kidg)
Na connect na fund Bora kulingana Na Aina ya trekta mnakaribishwa?
Hiyo hapo chin Fiat 80-66 mil15 View attachment 858331