Natoa ushauri wa kibiashara kwa wale wenye mitaji midogo na mikubwa

Natoa ushauri wa kibiashara kwa wale wenye mitaji midogo na mikubwa

Risker

Member
Joined
Apr 14, 2018
Posts
32
Reaction score
61
Habari!
Naitwa Risker, ni Mshauri na Mchambuzi wa mambo ya kibiashara. Nakaribisha watu wenye Mitaji Midogo, Ya Kati na Mikubwa wanaotaka kuwekeza kwenye soko la Tanzania na nje Niweze kuwapatia aina za biashara ambazo zitaendana na mazingira yao, mitaji yao, hali ya uchumi wa nchi, ujuzi wao na n.k
Kwa maelezo na ufafanuzi zaidi nicheki PM.
Karibu.
 
We unafanya biashara gani iliyofanikiwa au unauza chai tu?
 
Back
Top Bottom