Habari!
Naitwa Risker, ni Mshauri na Mchambuzi wa mambo ya kibiashara. Nakaribisha watu wenye Mitaji Midogo, Ya Kati na Mikubwa wanaotaka kuwekeza kwenye soko la Tanzania na nje Niweze kuwapatia aina za biashara ambazo zitaendana na mazingira yao, mitaji yao, hali ya uchumi wa nchi, ujuzi wao na n.k
Kwa maelezo na ufafanuzi zaidi nicheki PM.
Karibu.