Shujaa Nduna
JF-Expert Member
- Sep 8, 2022
- 599
- 487
Serikali ianzishe uchunguzi wa makanisa yote na madhehebu ili kubaini yale yenye ukwasi mzito kwa kuwarubuni waumini kupitia jina la Yesu wayafungiye au walipe mapato.
Kama mmeweza kuruhusu makampuni ya michezo haramu ya kalyinda, crypto currency kwakuwa tu wamejisajili wakalipa ili wafanye usanii kwa njia inayoumiza wananchi basi natowa wito kwa makanisa na madhehebu mtakayobaini katika hali hiyo yawe yanalipa mapato au yafungwe.
Watu wanahitaji elimu,ushauri wa kisaikolojia na mafundisho ya kujenga imani si kuwakwanguwa hela tu.Nimemaliza by...