Natoa wito kwa Wazazi wa Kanda ya Ziwa kuwapeleka watoto wao kupata elimu

Natoa wito kwa Wazazi wa Kanda ya Ziwa kuwapeleka watoto wao kupata elimu

koryo1952

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2023
Posts
948
Reaction score
1,627
Jumamosi iliyopita nilihudhuria mahafali ya Darasa la Saba pale KOM Shule ya Msingi Manispaa ya Shinyanga. Binafsi sikuamini macho yangu kutokana na ubora wa hiyo shule kuanzia taaluma, majengo, walimu, madarasa, mabweni, majiko na mandhari kwa ujumla.

Natoa wito kwa Wazazi wa Kanda ya Ziwa kuwapeleka watoto wao kupata elimu iliyo bora pale KOM Shule ya Msingi. Ni shule bora kabisa na yenye kiwango na inachukua watoto wa kutwa na bweni tangu darasa la kwanza mpaka la saba. Karibuni KOM Shule ya msingi kwa elimu bora.
 
Utakuwa huijui au Hujawahi fika shule ya Msingi Waja Geita ni mahali sahihi kwa mtoto wako .
 
Back
Top Bottom