Natoa zawadi ya 30,000/= TZS kwa atakayenisaidia hili

Natoa zawadi ya 30,000/= TZS kwa atakayenisaidia hili

Good Neighbour

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2017
Posts
942
Reaction score
899
Natafuta perfume/body spray inaitwa black caviar,muonekano wake unakua kama kwenye picha hii hapa chini
Ambaye atanisaidia kupata naahidi kumpa elfu thelathini(30,000/=) kama asante.
Naomba ni PM kwa anayeweza nisaidia nitaipata wapi.
images%20(3).jpeg
 
Branch Tanzania

*Branch ni nini?*
Branch hurahisisha mtu yeyote kupata mkopo nchini Tanzania, wakati wowote mahali popote. Kamilisha fomu yetu ya maombi ndani ya sekunde chache na upate mkopo wako moja kwa moja kwenye akaunti yako ya simu. Ichukulie Branch kama tawi la benki kwenye mfuko wako. Ipo kwa ajili yako wakati wote. Pakua aplikesheni yetu play store kujifunza zaidi.

*Branch inapatikana wapi?*
Branch ina ofisi jijini Nairobi, Kenya; jijini Lagos, Nigeria; Mji wa Mexico, Mexico; na San Francisco, Marekani.

*Branch inapatikana nchi zipi?*
Kwa sasa Branch inafanya kazi nchini Kenya, Tanzania na Nigeria.

*Branch inakubali mitandao gani?*
Nchini Tanzania sisi tunakubali vodacom na Tigo. Ni matumaini yetu kukubali mitandao mingine hivi karibuni.

*Je kiwango cha mkopo ni kiasi gani*
Kiasi cha mkopo kinaanzia *Tsh.20,000* mpaka *Tsh.1,000,000*

*Je marejesho ni kwa muda gani?*
Muda wa marejesho ni kuanzia mwezi moja mpaka mwaka kulingana na mkopo husika

*JINSI YA KUKOPA*

*vigezo na masharti:-*
1.Kitambulisho cha kupigia kura au kitambulisho cha taifa au leseni ya uedereva

2.Laini ya Tigo au Vodacom ambayo umesajili kwa kitambulisho chako

3.Kodi ya mwaliko ambayo ni *QUTOLP* ambayo utaijaza sehemu ya promosheni

4.Hakikisha kwenye simu yako kuwe na laini ya *vodacom* au *tigo* au zote na kama kuna laini ya mtandao mwingine *ITOE* utairudisha baada ya kumaliza usajili

*jinsi ya kuomba mkopo*

1.Download Application ya Branch kwenye simu yako au tumia link hii kudownload>>> https://tiny.cc/branchIN

2.Fungua Application yako ya Branch kisha chagua nchi na lugha kisha chagua sajili na nambari ya simu au sajili na facebook

3.(a)Kama umechagua namba ya simu, ingiza nambari yako ya simu kisha utapata kodi ya kuthibitisha namba yako kwa ujumbe mfupi
(b)Au kama umechagua facebook ingiza email yako na password yako ila *HAKIKISHA* jina lako la facebook liwe sawa na jina lako la kwenye kitambulisho chako kama halifanani basi kabadilishe kwanza jina kwenye akaunti yako ya facebook au sajili akaunti mpya

4.Baada ya hapo jaza taarifa zako:-
(a)Jina lako rasmi/kamili kama lilivyo kwenye kitambulisho chako
(b)Namba ya kitambulisho chako
(c)Tarehe yako ya kuzaliwa kama ilivyo kwenye kitambulisho chako

5.Jaza namba ya akaunti yako ya fedha

6.Baada ya hapo utaona viwango vyako vya mkopo.
Kabla hujachagua kiasi unachotaka kukopa nenda kwenye menyu yako kwa kubonyeza vistari vitatu juu kushoto alafu chagua *promosheni* kisha jaza kodi ya mwaliko ambayo ni *QUTOLP* alafu bonyeza *Tumia kodi maalumu* mara mbili kisha utajulishwa kuwa kodi imekubaliwa

7.Baada ya hapo rudi tena kwenye menyu yako alafu chagua *Mkopo wangu* kisha chagua kiwango cha mkopo unachotaka kukopa kisha bonyeza *omba mkopo* Baada ya dakika chache utapokea mkopo wako kwenye akaunti yako ya tigo-pesa ama m-pesa.

8.Baada ya kupokea mkopo wako ingia kwenye akaunti yako ya Branch ili kuthibitisha kuwa umepokea mkopo wako.

Fuata taratibu zote kwa umakini kama zilivyoelezwa hapo juu. Pia usisahau kujaza kodi ya mwaliko ambayo ni *QUTOLP* ili mkopo wako ushughulikiwe mapema.

*VIGEZO NA MASHARTI*

Wengi wanashindwa kukamilisha usajili nakukosa mkopo kwa kutozingatia vigezo na masharti, *usipozingatia na ukaacha hata kipengele kimoja kati ya hivi utakuwa umepoteza sifa za kupata mkopo*

*1.* Hakikisha unajaza kodi maalumu ya mualiko ambayo ni *QUTOLP* sehemu ya promosheni na kutumia kodi maalumu

*2.* Hakikisha kwenye simu yako kuwe na laini ya *tigo au voda tu* na si mtandao mwingine

*3.* Hakikisha hiyo laini yako ya voda au tigo umesajili kwa kitambulisho chako

*4.* Hakikisha unajaza jina lako kama lilivyo kwenye kitambulisho
Mfano:-
Jina la kitambulisho ni _David P Kiongozi_ jaza kama lilivyo na sio _~David Paulo Kiongozi~_

*6.* Hakikisha unajaza tarehe ya kuzaliwa iliyo kwenye kitambulisho chako

*5.* Kama umejiunga kwa facebook basi hakikisha jina lako la facebook linaendana na jina lako la kwenye kitambulisho

*Vigezo na masharti kuzingatiwa*

*MAREJESHO*

Kuna marejesho ya aina mbili:-
(a)ya kila week yaani kwa mwezi utalipa mara nne kila baada ya siku 7 tokea uombe mkopo, hii utalipa kufuata tarehe ulizopangiwa na kiwango

(b)malipo ya mwezi yani utalipa mara moja kwa mwezi ndani ya siku 30 tokea uombe mkopo, hii utalipa tarehe yeyote ndani ya hizo siku 30 eidha yote au hata kidogokidogo

Muda wa marejesho ni kuanzia *mwezi moja* mpaka *mwaka moja*

*Jinsi ya kufanya marejesho*

1.Piga *150*00# au *150*01# kupata menyu ya m-pesa au tigo-pesa

*kumbuka*
unaweza fanya marejesho kwa laini ya mtandao wowote ule iwe tigo, vodacom, airtel, halotel, ttcl na hata kwa laini ya mtu mwingine siyo lazima uliyojisajilia branch cha msingi kwenye kumbukumbu namba utaweka namba yako ya simu uliyojisajilia branch na namba ya kampuni utaweka *256699*

2.Chagua 4
lipa kwa m-pesa kwa vodacom au
lipa bili kwa tigo-pesa

3.Bonyeza 4 kwa m-pesa au 3 kwa tigo-pesa kisha ingiza namba ya kampuni ambayo ni *256699*

4.Halafu ingiza namba ya kumbukumbu, hapo utaweka namba yako ya simu uliyojisajilia branch

5.Ingiza kiasi chako cha marejesho

6.Ingiza namba yako ya siri

7.Halafu kuthibitisha muamala

*Ni Mimi MOSES*
*wakala*
*Branch Tanzania*
Unaharibu uzi wa watu
 
Back
Top Bottom