Natokea Dar es Salaam kwenda Udzungwa naomba ushauri wa basi zuri la kupanda

Natokea Dar es Salaam kwenda Udzungwa naomba ushauri wa basi zuri la kupanda

Mkuu hapo panda gari za Dar-Ifakara kisha utamwambia konda akushushe kituo cha geti la mlima Udzungwa.

Basi luxury kwa njia hiyo ni Kidinilo, Dar express au Al Saedy ya Ifakara.
Njia hiyo kuanzia Kidatu kuna vumbi kwa gari nyingi kihalisia ni semi luxury.
 
Bora kidinilo! Au pand mwembamba bus😅😅 dreva nahis hua anavuta bangi jaman
 
Back
Top Bottom