Mkuu hapo panda gari za Dar-Ifakara kisha utamwambia konda akushushe kituo cha geti la mlima Udzungwa.
Basi luxury kwa njia hiyo ni Kidinilo, Dar express au Al Saedy ya Ifakara.
Njia hiyo kuanzia Kidatu kuna vumbi kwa gari nyingi kihalisia ni semi luxury.