Natokea kupima angaza mume wangu

Natokea kupima angaza mume wangu

pilau

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
1,595
Reaction score
451
Fikira wewe na mkeo mmeamka wote asubuhi salama wa salimini, wewe unakwenda kwenye mihangaiko yako kutafuta riziki yeye unamwacha nyumbani unarudi jioni yeye unakuta alitoka na hajarudi wakati unamtafuta kwa simu hapokei, na ghafla anagonga geti kwa nguvu mtoto anamfungulia unamuuliza kulikoni mke wangu anakujibu "nimetoka angaza kupima" bila ya kuagana wala taarifayoyote JE? kama wewe ni mwanamume kiruka njia na huelewi elewi lile tangazo la tuko wangapi utajisikiaje? wakati unatafakari anakupa taarifa kwamba yeye yuko salama hana maambukizi
 
Ni jambo jema, hivyo nitajisikia furaha na mimi nitaenda kupima.
 
Shida iko wapi Kama yeye yuko safi na nimkeo sindo unampa bonge ya Game ya hongera, na wewe na machangu basi....
 
Back
Top Bottom