Natokwa Damu Ukeni Na sio Hedhi

Njoo inbox
 
I usually do background checks....hivyo jamaa ni kijana below 24yrs
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu unachekesha sana mbona umekazania kijana sana
 
Pole ila binafisi naona kuingia trh 21 it means trh 25 ulitoka period, trh 27 bado ni mapema kulala na mwanaume . siko sure ila nahisi ile sehemu unakuwa bado unaumwa sasa kukutana na mwanaume, na mwanaume mwenyewe ukute ana mguu wa mtoto mhhhhh. Anyway mwone Dr.
 
Pole sana yawezekana una tatizo la insulin resistance,.kwani huwa hivi damu inaweza kutoka siku kadhaa ukaona kama imekata ila itaendelea kutoka hata kidogokidogo na wakat mwingine haijakolea inakua kama pink.kama ni hivyo basi nenda kwa doct wa wanawake yawezekana una shida hiyo ambayo husababishwa na hormonial imbalance
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwani panaumaga tukiwa hedhi?maana ulivyosema unakua bado unaumwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wasomi mmewaza mbali sana, hiyo dogo ndio mara ya kwanza anaona hiyo hali na hakuna shida nyingine. Antifibrinolytic agents zingemtosha kwa kuanzia kwa mtazamo wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…